skip to main |
skip to sidebar
NEWS ALERT: ANGETILE OSIAH APEWA LIKIZO MPAKA MKATABA WAKE UISHE NA TFF
LATEST:
Kikao cha kwanza cha Kamati mpya ya Utendaji ya TFF kimempa likizo
Katibu Mkuu wa kuajiriwa, Angetile Osiah (pichani) mpaka mkataba wake
utakapomalizika Desemba na watamlipa stahili zake.
Kikao hicho chini ya
Rais Jamal Malinzi, kimeamua kwamba Ofisa Habari Boniface Wambura
atakaimu nafasi ya Angetile kuanzia leo.
JIUNGE NA EDMO BLOG SASA
Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube
Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi