MWENDESHA BODA BODA AGONGWA NA GARI WAKATI AKIKATISHA MATAA LICHA YA TAA NYEKUNDU KUMKATAZA KUPITA

Gari ikiwa hoi baada ya kumgonga mwendesha bodaboda.
 
Ajali ya Mwendesha pikipiki akiwa amegongwa na gari eneo la mataa ya Uhasibu, Kurasini jijini Dar, kutokea kwa ajali hiyo kulisababishwa na mwendesha pikipiki alikatisha wakati askari wa barabarani akiongoza magari yaliyokuwa yakitokea bandarini kuelekea Uwanja wa Taifa ndipo bodaboda alipokatisha na kukutana uso kwa uso na gari aina ya Toyota Passo ambayo ilimgonga na kwenda kuvaa taa ya kuongozea magari. 
Mmiliki wa gari akiongea na wananchi waliofika eneo la tukio.Mwendesha boda boda akiwa amepakizwa kwenye gari kuwahishwa hospitali ya Temeke kwa matibabu. Picha zote na Imani Ntila wa Kajunason Blog.


JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi



 
© Copyright EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo