DIAMOND PLATNUMZ ATANGAZA NAFASI ZA KAZI, MAELEZO YOTE YAPO HAPA

Naseeb Abdul aka Diamond Platinum kutoka WCB 'Wasafi Classic Baby',leo Novemba 24 ametangaza nafasi za kazi kupitia mtandao wake wa Instagram.

Kama wewe ni mpiga picha (Cameraperson), mhariri wa video (Editor) au Graphic designer unaechapa kazi kwa kiwango kizuri na unahitaji kazi, hili tangazo la C.E.O wa wasafi Classic linakuhusu. 

"Je unaishi Dar-es-Salaam..? Unakipaji, Uwezo na Elimu ya kupiga picha, kushoot Video na kuedit...? NOTE:- 1)Uwe na Uwezo wa kutumia Camera zote Old na za kisasa.... 2)Uwe na sample za kazi kadhaa ulizowai fanya... (kushoot na Kuedit) 3)Quality ni kuanzia 1080 na kuendelea... 4)Age, kuanzia Miaka 20 hadi 35.. 5)M'bunifu, Smart na uwe tayari kusafiri popote saa yoyote... Kama unaamini unasifa hizo wasiliana nasi sasa kwa email hii diamondplatnumz@gmail.com ama kwa namba ya simu +255755700400.... Kumbuka, uwe unaisha Dar-es-Salaam...!"


JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi



 
© Copyright EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo