MTANGAZAJI WA ITV/RADIO ONE OMARY KATANGA ANAOMBA KURA YAKO, SOMA MAELEZO YAKE HAPA

Ombi muhimu kutoka kwa mtangazaji mahiri wa kipindi cha michezo radio one/ITV Omary Katanga

"NIMETEULIWA KUWANIA TUZO YA MTANGAZAJI BORA WA HABARI ZA MASUMBWI (NGUMI) (sio tuzo ya ubondia,mimi sio bondia) ILI NISHINDE NAOMBA UNIPIGIE KURA KWA RIDHAA YAKO,,,,,ANDIKA NENO NGUMI acha nafasi 45 kisha tuma kwenda 15573.plz tuma mara nyingi kadiri iwezekanavyo...ASANTENI."


JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi



 
© Copyright EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo