MSANII SNURA MUSHI APATA MSIBA MZITO


 
Yusuph Mushi ambaye ni kaka yake Snura (kushoto) enzi za uhai wake. Kulia ni Snura Mushi akiwa na simanzi.

Mwanamuziki Snura Mushi amefiwa na kaka yake aitwaye Joseph Mushi. 

Kupitia akaunti yake ya Facebook, mkali huyo wa wimbo wa Majanga ameandika maneno haya "R.I.P my brother mbele yako nyuma yetu. 

Msiba uko Mlandizi tunazika leo saa 10 jioni. Kaka Yusuph Mushi ni wa kwanza kuzaliwa kwa baba yangu mzee Mushi."


JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi



 
© Copyright EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo