KUMBUKUMBU YA MWANANGU SHARO MILIONEA NI TAREHE 26 NOVEMBER, LAKINI HALI YA KIUCHUMI KWANGU NI MBAYA...! ALISEMA MAMA WA MAREHEMU SHARO



MAMA mzazi wa aliyekuwa mchekeshaji maarufu hapa nchini marehemu ''
Sharo Milionea'' (Husein Mkieti) Akiongea na masainyotambofu.com,Leo majira ya saa kumi jioni huko Jijini Tanga alifanya mazungumzo mafupi na Aliyekuwa rafiki wa karibu wa marehemu Sharo milionea (Masai Nyotambofu)
''Masai Nyotambofu'' na ''Sharo milionea'' enzi za uhai wake.
 
Masai Nyotambofu ambaye pia ni mmiliki wa website ya masainyotambofu.com, Alipozungumza na Mama Sharo walilizungumzia kumbukumbu ya marehemu Sharo milionea kwamba ili kuifanikisha Shughuli hio kunahitajika mchango wa
yeyote atakayeguswa na swala hili Hususan wasanii.Mama wa marehemu sharo Alisema kwamba hali ya kiuchumi kwake sio nzuri tangu mwanae afariki dunia, hivyo anahitaji msaada,..

Hii ni messege aliyonitumia mama sharo kabla hatujaonana ''Masai Nyotambofu''


Na haya hapa chini ndio majina ya mpokeaji wa kiasi cha fedha utakayotuma

NDUGU Msomaji wa website hii ukiguswa na Shwala hili Changia chochote kadri ya uwezo wako kupitia namba hio hapo katika picha ya Messege, Hizo ni namba za mama wa marehemu Sharo milionea.

PICHA kwa hisani ya MASAINYOTAMBOFU.COM


JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi



 
© Copyright EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo