Katibu
Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akihutubia wakazi wa Ipinda
wilayani Kyela kwenye mkutano wa hadhara ambao ndio mkutano wake wa
kwanza kama Katibu Mkuu wa CCM lakini pia ndio siku aliyowasili akitokea
Ruvuma .
Katibu
wa NEC Siasa na Mahusiano ya Kimataifa Dk.Asha-Rose Migiro akiwasalimu
wakazi wa Ipinda wilaya ya Mbeya na kuwasihi wakina mama wawe mstari wa
mbele kuhakikisha mabinti zao wanapata elimu.
Katibu
wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akihutubia wakazi wa Ipinda na
kuwaeleza mambo muhimu ya kutafakari kabla hawjakurukupia siasa na
baadhi ya vyama vingi vipo kwenye mfumo na utawala binafsi.
Mbunge
wa Kyela Dk. Harisson Mwakyembe akihutubia wakazi Ipinda wa kwenye
mkutano wa hadhara ambao mgeni rasmi alikuwa Katibu Mkuu wa CCM Ndugu
Abdulrahman Kinana
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akiwa amekaa Nyumbani kwa Balozi wa Nyumba 10 Ndugu Menas Ndoma .
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akizungumza na Wananchi wa Shina namba 1 kata ya Walema,alipokwemda kumtembelea Balozi Menas Ndoma.
Wananchi
wa Shina namba 1kata ya Walema wakishangilia salaam za Katibu Mkuu wa
CCM Ndugu Abdulrahman Kinana alipokuja kumtembelea Balozi Menas Ndoma wa
kata ya walema.






