![]() |
| Hongera sana; Tenga akimkaribisha Malinzi |
![]() |
| Rais mpya wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Jamal Malinzi akiagana na Rais aliyemaliza muda wake, Leodegar Tenga baada ya hafla ndefu ya kukabidhiana ofisi iliyonakshiwa na hotuba kibao ndefu, Uwanja wa Karume, Ilala, Dar es Salaam mchana wa leo. |
![]() |
| Msalimie Musonye; Tenga sasa anabaki kuwa Rais wa CECAFA na Mjumbe wa CAF na FIFA.PICHA ZOTE NA BIN ZUBEIRY BLOG |
![]() |
| Kuongoza mpira kazi; Malinzi akizungumza na Tenga wakati akienda kumuachia ofisi |
![]() |
| Malinzi akiandika anayoelezwa na Tenga |
![]() |
| Malinzi akinukuu hotuba ya Tenga, ilikuwa ndefu sana iliyosheheni mambo kibao |
![]() |
| Umati ulioshuhudia zoezi hilo |






