BREAKING NEWS: POLISI WAKAMATA WACHINA WAWILI WA KIWANDA CHA URAFIKI WAKIWA NA KIGANJA CHA MTU

Jeshi la Polisi kanda maalum Dar es Salaam linawashilikia raia 2 wa china wa Kiwanda cha Urafiki Plastick Mabibo jijini DSM baada ya kukutwa na kiganja cha mfanyakazi wao kilichokatwa na mashine wiki iliyopita

Endelea kusoma EDDY BLOG kwa taarifa zaidi kuhusu tukio hilo hapo baadaye kidogo


JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi



 
© Copyright EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo