Engineer wa zamanni wa software mwenye umri wa miaka 22 ametiwa mbaroni baada ya kufanya mapenzi na mfanyakazi wake kwa nguvu.
Kshitiz
Garg ambaye aliwekwa chini ya ulinzi Siku ya Jumapili, Kamanda mkuu wa
polisi alisema, Kutokana na malalamiko ya dada aliyefanyiwa kitendo
hicho cha ukatili ni kwamba baada ya kuombwa penzi na Boss
wake aligoma, Mr Garg alivyoona mrembo anakuwa mgumu kukubali akatumia
kigezo cha kumuahidi kumuowa lakini bado binti akakomaa..!
Hapo
ndipo Jamaa uzalendo ulipomshinda na kuamua kumbaka. Aliendelea kusema
kamanda wa polisi kwamba Iliripotiwa mnamo tarehe 14 mwezi wa tisa ndio
Siku ya tukio na tukio hilo lilifanyikia katika moja ya Hotel kubwa huko
India,
Hivyo
binti huyo aliwahishwa Hospitali kwa vipimo zaidi kama aliambukizwa
maradhi au laa..! kwa bahati nzuri hakukutwa na maradhi yeyote. Kshitiz
Garg yupo mikononi mwa polisi.