BAHATI BUKUKU AFIWA NA BABA YAKE MZAZI


Msanii wa nyimbo za injili, Bahati Bukuku amefiwa baba yake mzazi Mzee Paul Bukuku baada kuugua kwa muda mrefu. 

Marehemu Paul amefia katika Hospitali ya Kardinali iliyopo Ukonga jijini Dar es Salaam na msiba upo nyumbani kwa Bahati maeneo ya Tabata, jijini Dar es Salaam.

Mtandao huu wa EDDY BLOG unatoa pole nyingi kwa wote waliofikwa na masiba huo


JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi



 
© Copyright EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo