NAIBU MEYA MANISPAA YA MOSHI AFARIKI DUNIA

Naibu Meya wa Manispaa ya Moshi Mh. Vicent Rimoy [Chadema] amefariki dunia mchana wa leo kwa shinikizo la damu akiwa hospitalini alipokuwa akipatiwa matibabu.

Mh. Vicent amekuwa naibu meya toka mwaka 2010 hadi kifo kilipomkuta siku ya leo


JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi



 
© Copyright EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo