Kaka Beda Msimbe kwenye blogu yake anasema amepokea taarifa ambayo inaweka rekodi ya kuwa kesi ya kwanza kutokea katika Kanisa la Anglikana hapa nchini Tanzania.
Kwamba, Askofu wa Kanisa, Doyosisi ya Rorya, John Adiema, amefunguliwa mashitaka ya madai na mkewe wa ndoa, Bi Peres Adiema ambaye mbele ya Hakimu Mkazi wa Mkoa wa Mara, anadai haki zake zote za msingi walizochuma wakiwa kama wanandoa, kutengua ndoa na kupewa talaka.
Kesi hiyo Namba 1 ya mwaka 2013 imepangwa kusikilizwa Novemba 18, 2013 katika mahakama hiyo iliyopo mjini Musoma.