WANAOTIRIRISHA MAJI MACHAFU KUTOKA VYOONI KIPINDI CHA MVUA WAONYWA

  AfisaUhusiano toka Halmashauri ya Manispaa ya Ilala Bi.Tabu Shaibu(Kulia) akieleza kwa waandishi wa Habari(hawapo pichani) mafanikio yaliyopatikana katika utoaji wa huduma ya Afya ikiwa ni pamoja na kuboresha Miundombinu ya afya katika manispaa hiyo,wakati wa mkutano uliofanyika ukumbi wa Idara ya Habari(MAELEZO) Leo Jijini Dar es Salaam.Kushoto ni Mganga Mkuu wa Manispaa hiyo Dkt. Asha Mahita.
Mganga Mkuu wa Manispaa ya Ilala Dkt. Asha Mahita(Kushoto) akitoa tahadhari kwa wananchi kupitia waandishi wa habari(hawapo pichani) kuacha tabia ya kufungua makaro ya maji machafu kipindi cha Mvua ili kuepuka magonjwa ya mlipuko,wakati wa mkutano uliofanyika ukumbi wa Idara ya Habari(MAELEZO) Leo Jijini Dar es Salaam.Kulia ni Afisa Uhusiano wa Manispaa hiyo Bi.Tabu Shaibu.Picha na Hassan Silayo


JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi



 
© Copyright EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo