HATARI: MGANGA AKUTWA NA KIGANJA CHA MTU AKIKIUZA MILIONI 100 JIJINI MWANZA

Mtu mmoja Jana amekamatwa na kiganja cha mtu akiwa anajiandaa kumuuzia mteja kwa sh million 100.

Wamekamatwa karibia na uwanja wa ndege wa Mwanza, walikuwa wanauziana kwa pembeni, watu na Polisi wakawakurupusha na kuwakamata wakawapekua wakakuta mteja ana 100 million na mganga ana kiganja ambacho bado kibichi kinatoa damu, kina tunguri pia na nywele za binadamu.


JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi



 
© Copyright EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo