TENGA AMKABIDHI JAMAL MALINZI MIKOBA YA TFF

Rais wa Shirikisho la Mpira wa miguu aliyemaliza muda wake,Leodger Tenga  akimkabidhi Mpira Rais Mpya wa shirikisho hilo,Bw.Jamal Malinzi  mara  baada ya kumshinda mpinzani wake aliyekuwa makamu wa Kwanza wa shirikisho hilo Bw. Athman Nyamlani kwa kura 73 kwenye uchaguzi uliofanyika katika ukumbi wa Water Front jijini Dar es salaam jana, Katika uchaguzi huo Mgombea wa umakamu wa wa rais Walace Karia amefanikiwa kuwashinda wapinzania wake Imani Madega na Ramadhan Nassib. 


JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi



 
© Copyright EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo