| Rais Jakaya Mrisho Kikwete leo Jumapili, Oktoba 27, 2013 akiwa na Askofu Mkuu wa Kanisa Katoliki wa Jimbo la Morogoro Onesphory Mkude, Askofu Mkuu wa Kanisa Katoliki Jimbo la Tanga Anthony Banzi, Viongozi wa mkoa wa Pwani, Kamati ya Walei ya Parokia ya Lugoba wilaya ya Bagamoyo Mkoa wa Pwani, Waumini na Wananchi, amehudhuria kwenye sherehe za Jubilei ya kuadhimisha Miaka 100 ya Parokia hiyo. Zifuatazo ni baadhi ya picha kutoka kutoka Ikulu kuhusu tukio hilo. |
RAIS KIKWETE AWA MGENI RASMI KATIKA JUBILEI YA MIAKA 100 YA PAROKIA YA LUGOBA
By
Edmo Online
at
Sunday, October 27, 2013