AJALI MBAYA YATOKEA MPAKANI MWA SONGWE NA MBOZI MKOANI MBEYA


Hapa Basi la abiria aina ya coaster lenye namba za usajili T378ADR baada ya kup

ata ajali.
Basi la abiria aina ya coaster lenye namba za usajili T378ADR likiobnekana muda mchache baada ya kupata ajali.

Basi la abiria aina ya coaster lenye namba za usajili T378ADR likiwa limeharibika vibaya mara baada ya kupata ajali hiyo

Kiatu cha Abiria kikiwa kimebaki baada ya ajali hiyo

Wakazi mbalimbali wa mpakani mwa Mbozi na Songwe wakishuhudia Ajali hiyo.

Baadhi ya watu wakiangalia kama kutakuwa na watu wamebakia katika ajali hiyo 
PICHA KWA HISANI YA MBEYA YETU BLOG


JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi



 
© Copyright EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo