WAZIRI MWAKYEMBE ATOA KAULI BUNGENI YA KULIPWA KWA WATUMISHI WA TAZARA WALIOPO KWENYE MGOMO

"Wafanyakazi wote wa Tazara jumatatu kazini,mishahara yenu ipo benki leo kwa miezi yote ambayo hamjalipwa.

Tusahau mgomo na yote yaliyotokea,tumepata hasara kiasi flani,hivyo tunavyorejea kazini tuhakikishe tunachapa kazi vizuri sana na kwabidii."
 
Hayo yamesemwa na waziri wa uchukuzi Dr Harrison Mwakyembe bungeni sasa hivi


JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi



 
© Copyright EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo