Wabunge wa Kambi ya Upinzani wametoka nje baada Naibu spika kushindwa
kutolea ufumbuzi hoja za upinzani na kutaka kuwaburuza baada ya kusimama
Tundu Lisu kuuliza muongozo kuhusu kuleta mswaada bila kuwahusisha
Zanzibar huku Tanganyika wakihusishwa!
Naibu spika Job Ndugai (pichani) akatumia nguvu ya kiti cha spika kumzuia asiongee ndipo upinzani kutoka nje!