WAANDISHI WA HABARI WANNE WAJERUHIWA KATIKA AJALI YA MSAFARA WA WABUNGE KARATU JANA


Baadhi ya waandishi wa habari wakipatiwa huduma ya kwanza baada ya kutokea ajali ya gari walilokuwa wamepanda katika msafara wa wabunge waliokuwa safarini kuelekea Hifadhi ya Taifa ya Ngorongoro jana ambalo lilipindua eneo la Karatu na kuwajeruhi waandishi wanne ambao walipelekwa kupatiwa matibabu katika Hospitali ya Karatu.

 Baadhi yao wakipatiwa huduma ya kwanza wakipepewa baada ya ajali hiyo.
Hili ndilo gari walilokuwa wamepanda waandishi hao..PICHA KWA HISANI YA MICHUZIJR BLOG


JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi



 
© Copyright EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo