Mwili wa Askofu Mkuu wa kanisa la EAGT na baba wa kiroho wa watumishi wengi Askofu Moses Kulola
![]() |
| Landcruiser za kubebea wagonjwa wanapozidiwa na kuwakimbiza hospitali ya Bugando zikiwa tayari kwa yeyote atayehitaji huduma hiyo. |
![]() |
| Askofu Eliudi Isanja wa Arusha |
![]() |
| RPC wa Mwanza, Ernest Mangu |
![]() |
| Emmanuel Mbasha |
![]() |
| Mojawapo ya foleni za kuaga mwili |
![]() |
| Ambulance ya Jeshi la Wananchi wa Tanzania |
![]() |
| Hapa ambulance ikipokea mtu. |
![]() |
| Nje ya uwanja simanzi, wanafunzi wakiwa wameduwaa na kutoamini kinachoendelea. Picha kwa hisani ya Gospel Kitaa Blog na babamzazi.com |












