Mwalimu Yuda Kiluswe wa shule ya msingi Uganga wilayani Makete mkoani Njombe akimuonesha mwandishi wa mtandao huu wa eddymoblaze.blogspot.com hali mbaya ya nyumba anayoishi jinsi dari lilivyo.
Dari la nyumba nyingine ya mwalimu wa shule ya msingi Uganga.
Muonekano wa nyumba za waalimu wa shule ya msingi Uganga kama unavyoiona hii, nyumba zote zinafanana hivi
Hii inahitaji ukarabati maana ina matundu balaa, kutokana na matofali kuanza kubomoka yenyewe