MDOGO WAKE TUNDU LISSU AJIUNGA NA CCM ... USHAHIDI HUU HAPA


Photo: Mdogo wake Tindu Lisu. Martine Lissu ajiunga na Chama cha siasa
Tupo nae anavaa kijani
Mdogo wake Tundu Lissu aitwaye Martine Lissu akiwa na Makamu Mwenyekiti wa UVCCM Taifa, Mboni Mhita 
*********
Baada ya dada yake Mwenyekiti wa Chadema Freeman Mbowe kujiunga na CCM, Mdogo wake Tundu Lissun aitwaye Martine Lissu naye pia ajiunga na Chama Cha Mapinduzi
 
CREDITS: EMMANUEL SHILATU


JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi



 
© Copyright EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo