MSANII WA FILAMU MASAI NYOTAMBOFU AVAMIA BONGO FLEVA, DOWNLOAD/SIKILIZA NGOMA HIYO HAPA


NGOMA AMEFANYA KIRI RECORDS CHINI YA PRODUCER ''C9 KANJENJE'' AMEMSHIRIKISHA ''RICH MAVOKO'' NA ''KITOKOLOLO KALIDJO'' RAPA WA FM ACADEMIA.

NGOMA INAITWA YERO MASAI
VIDEO ANAFANYA NA APEX CHINI YA DIRECTOR ''PABLO'' MUDA SI MREFU ATAIACHIA ON AIR.

Bofya hapa chini kusikiliza wimbo huu na hutojutia muda wako.


JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi



 
© Copyright EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo