MENEJA WA MCHEKESHAJI NGULI HAPA NCHINI ''KING MAJUTO'' AFUNGUKA KUHUSU BEI ZA KAZI KWA WATAKAO MUHITAJI MZEE KING MAJUTO, CHEKI HAPA

LEO tarehe 06/09/2013 ''Hamza king majuto'' ambaye ni mtoto wa Mchekeshaji Nguli hapa nchini ''Mzee King Majuto'' Akiongea nasi kupitia simu ya kiganjani alifunguka hivi: BEI IMEBADILIKA YA KUFANYA KAZI KWA BABA YETU ''MZEE MAJUTO,INATOFAUTIANA KUTOKANA NA AINA YA KAZI NA MUDA HUSIKA. 
 
KUNA WENGINE WANA JARIBU KUONGEA NA MZEE DIRECT LAKINI MIMI NDIO NINA JUKUMU LA MAKUBALIANO YA BEI,HATA UKIWASILIANA NAE LAZIMA ANIJUZE THEN NITAJE BEI MIMI KAMA MTOTO NA MENEJA.
 
HIVYO MZEE ANASEMA WASANII NA WATU WENGINE WAWASILIANE NA MIMI FOR ANY EVENT, NDIO MAANA YA DIVISION OF LABOUR. 
 
TUWASILIANE KWA FB HAMZA KING MAJUTO AU Mobile +255 717 O69 OOO
 


JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi



 
© Copyright EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo