Wanahabari waliopo katika kampeni ya Tupo wangapi?Tulizana wakiwa katika picha ya pamoja
WADAU WA TUKO WANGAPI WAKIFUATILIA JAMBO.
WANAHABARI KAZINI
MGANGA MKUU AKITOA HUTUBA YAKE.
KIKAZI ZAIDI
Wadau wakifuatilia hotuba ya uzinduzi huo
Mganga mkuu wa serikali Dr Donan Mmbando wa tatu kulia waliokaa
akiwa katika picha ya pamoja na wahisani wa nje na ndani mara
baada ya uzinduzi wa kampeni ya Tupo wangapi? tulizana
Mganga mkuu wa serikali Dr Donan Mmbando akifungua kampeni ya awamu ya pili ya Tupo wangapi ? Tulizana
CREDIT:FG BLOG