skip to main |
skip to sidebar
DK. KIGWANGALA ATOA KALI BUNGENI, ASEMA MBOWE AMESHIKISHWA ADABU KWA KUTOLEWA NJE YA BUNGE
Mbunge
wa Nzega Dr. Kigwangalla, ametumia muda wake karibu wote wa kuchangia
Muswada wa Katiba kwa kumshambulia M/Kiti wa CHADEMA, Mhe. Mbowe kuwa ni
Mjinga, Mpuuzi, ametia aibu aibu ila ameshikishwa adabu!.
- Aidha, amedai kuwa Mbowe sio Mchagga bali ni mhuni fulani!.
- Ameongeza kuwa wapinzani wana akili za shetani!
Endelea kusoma zaidi hapa => http://bit.ly/1aSp43g
JIUNGE NA EDMO BLOG SASA
Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube
Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi