BREAKING NEWS: WABUNGE WA UPINZANI WATOKA TENA NJE YA BUNGE WAKIDAI KUPUUZWA

 Wabunge wa Chadema wakiwa wamesimama bungeni.

Wabunge zaidi ya 20 walisimama kwa mujibu wa sheria lakini Jenista Muhagama akaandika majina na kutowapa nafasi, akitaraji kuwapa nafasi mwishoni! Cha ajabu hajui wanataka kuzungumzia nini. 

Wametoka nje ya ukumbi. Mbunge wa CUF mwanamama Mwituka na John M. Shibuda wa CHADEMA, Dr. Augustine Lyatonga Mrema wabaki ukumbini. 

Otherwise its all green

chanzo:jamii forum


JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi



 
© Copyright EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo