Mama mmoja muda si mrefu mchana huu amekamatwa na dawa za
kulevya akiwa amevalia bai bui kwa juu na kufunika sura alipanga kusafiri na
ndege ya Ethiopian Airways.
Sasa yuko kweny ulinzi wa polisi baada ya kumbamba na dawa
hizo alizokuwa ameziweka kwenye plastic za Johnson Powder,
habari zaidi inakujia hapa hapa
Chanzo:
JF
