Na Michuzi Blog
Salam Kaka Michuzi na Watanzania wote
Naomba niwekee hizi picha nne za Watanzania wawili waliojeruhiwa vibaya na kikundi cha watu wapatao 20 hadi sasa haijajulikana ni akina nani kama ni Waalbania au Ni vishoka wengine au Wagiriki.
Naomba niwekee hizi picha nne za Watanzania wawili waliojeruhiwa vibaya na kikundi cha watu wapatao 20 hadi sasa haijajulikana ni akina nani kama ni Waalbania au Ni vishoka wengine au Wagiriki.
Tukio limetokea jana usiku wakati walipopita karibu na watu hao
waliowajeruhi ambao wanasema walikuwa wamevunja gari za watu kuiba sasa
inaonekana kuwa walifikiria wataita polisi ndipo walipowavamia
Ahsante - Mdau Ugiriki
Ahsante - Mdau Ugiriki