Akina
mama wa Kilombero wakiandaa mlo kwa ajili ya timu za Help for
Underserved Communities (HUC) na Lifetime Wells for Ghana Inc., wakati
wa ufungaji pampu katika moja ya visima Wilaya ya Kilombero, Morogoro,
uliofanyika hivi karibuni. Zaidi kuhusu mradi huu bofya; www.facebook.com/pages/Help- for-Underserved-Communities- HUC-USA. (Picha zote na Nathan Mpangala wa HUC).
Mtoto
toka Kilombero, akifuatilia ufungaji pampu katika moja ya visima 59
uliofanywa na timu za Help for Underserved Communities (HUC) na Lifetime
Wells for Ghana Inc., Wilaya ya Kilombero, Morogoro, hivi karibuni.
Haya
twende! Timu ya Help for Underserved Communities (HUC) ikishirikiana na
Lifetime Wells for Ghana Inc., wakichimba moja ya visima 59 Wilaya ya
Kilombero, Morogoro, huku wakiangaliwa kwa shauku na watoto hivi
karibuni. HUC ni asasi isiyokuwa ya kiserikali yenye makao yake
Marekani, inayochimba visima kwa kushirikiana na jamii kusaidia
upatikanaji wa maji ya kunywa safi na salama mashuleni, vijijini na
jamii kwa ujumla. Zaidi, bofya; www.facebook.com/pages/Help- for-Underserved-Communities- HUC-USA.
Timu
ya Help for Underserved Communities (HUC), ikishirikiana na Lifetime
Wells for Ghana Inc., wakifunga pampu katika moja ya visima 59 Wilaya ya
Kilombero, Morogoro, Tanzania huku wakifuatiliwa kwa shauku na watoto
hivi karibuni.
Wachimba
visima toka Help for Underserved Communities (HUC) na Lifetime Wells
for Ghana Inc., kama walivyokutwa na kamera yetu Wilaya ya Kilombero,
Morogoro, wakati wa uchimbaji visima vya msaada uliotolewa na taasisi
hizo hivi karibuni. Zaidi bofya; www.facebook.com/pages/Help- for-Underserved-Communities- HUC-USA
Wakaazi
wa Kilombero wakichota maji toka katika moja ya visima 59
vilivyochimbwa na Help for Underserved Communities (HUC)/Lifetime Wells
for Ghana Inc., Wilaya ya Kilombero, Morogoro, Tanzania, hivi karibuni.
Wakazi
wa Kilombero wakiangalia kisima kilichochimbwa na Help for Underserved
Communities (HUC) kwa ushirikiano na Lifetime Wells for Ghana Inc.,
Wilaya ya Kilombero, Morogoro, hivi karibuni. Zaidi kuhusu HUC,www.facebook.com/pages/Help- for-Underserved-Communities- HUC-USA.
Uchimbaji ukiendelea. Zaidi kuhusu mradi huu, bofya; www.facebook.com/pages/Help- for-Underserved-Communities- HUC-USA. (Picha zote na Nathan Mpangala wa HUC)





