PICHA ZA GARI ALILOPEWA MZEE GURUMO NA DAIMOND PLATNUMZ

Pichani juu ni baadhi ya taswira za makabidhiano ya gari aina ya FunCargo lenye namba za usajili T789 AYS alilopewa Mzee Muhidin Gurumo na msanii mahiri wa muziki wa Bongofleva, Nasibu Abdul 'Diamond Platnumz' wakati akizindua video yake mpya iitwayo 'Number One' jana katika hoteli ya Serena jijini Dar es Salaam.

(Picha: Shakoor Jongo na Imelda Mtema / GPL)


JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi



 
© Copyright EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo