NDUGU MSOMAJI TUPIGIE KURA YAKO ILI TUWEZE KUIBUKA WASHINDI KWENYE MASHINDANO YA BLOGU,SOMA MAELEKEZO YOTE HAPA


Wasomaji na wafuatiliaji wa blog ya eddymoblaze.blogspot.com tunapenda kuwafahamisha kuwa Blogu yetu itashiriki katika shindano la blog Katika vipengele Vifuatavyo

Best News Blog
Best Educational Blog
Best General Blog


 Jinsi ya kufanya
1. Nenda sehemu ya kuandika ujumbe (email), yaani sehemu ya Email yako unapo compose kisha Andika 
 
Subject:- http://eddymoblaze.blogspot.com/
Sehemu ya kuandika ujumbe/Post:-  Andika hivi vipengele

Best News Blog
Best Educational Blog
Best General Blog

Kwa maelezo zaidi na vipengele vingine ingia/bofya tanzanianblogawards

UNAWEZA KUFANYA YAFUATAYO
3. Unaweza kupendekeza blog katika vipengele vingi upedavyo lakini katika kila email unayotuma ni blog moja tu utaruhusiwa kuipendekeza kwa wakati mmoja

Kwa mfano:  Kwenye subject unaandika jina la blog unayotaka kuipendekeza  yaani

 eddymoblaze.blogspot.com

Kwenye body ya email unaandika vipengele unayotaka blog hii ishirikishwe  
Best News Blog
Best Educational Blog
Best General Blog



4. Email iwe ni ya ukweli kama tukiwa tunataka kuwasiliana na wewe kuhusu link ya blog uliyopendekeza tuweze kufanya hivyo na tuma mapendekezo yako kwa hii hapa


nomination@bloggersassociationoftanzania.com     au tanzanianblogawards@gmail.com

5. Mwanzo wa kupokea mapendekezo hayo ni
Tarehe 17/8/ 2013 saa 12:01am mpaka tarehe 02/9/2013 saa 11:59pm saa za Afrika mashariki

UKIWA MPENZI NA MFUATILIAJI WA BLOGU YETU HII TUNAOMBA UTUME MARA NYINGI UWEZAVYO ILI TUWEZE KUINGIA KWENYE MASHINDANO HAYA NA KUIBUKA WASHINDI,TUNATANGULIZA SHUKRANI ZETU.


JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi



 
© Copyright EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo