Ofisa
Tawala wa Global Publishers Ltd, Soud Kivea (kushoto) akimfariji wifi
wa marehemu (kulia). Katikati ni Msanifu Kurasa wa Global, Huruma
Bujiku.
MJASIRIAMALI Herieth Daniel Chamvanga
aliyefariki dunia Julai 31 mwaka huu katika Hospitali ya Taifa
Muhimbili, amezikwa leo katika makaburi ya Makongo Juu jijini Dar es
Salaam. Marehemu enzi za uhai wake aliwahi kuwa Mwenyekiti wa Chama cha
Mapinduzi (CCM) wilaya ya Mbalali mkoani Mbeya. Mpaka mauti yanamfika,
Bi. Herieth alikuwa mjasiriamali. Mungu ailaze roho ya marehemu mahali
pema peponi. AMEN!
(PICHA NA HARUNI SANCHAWA / GPL)
(PICHA NA HARUNI SANCHAWA / GPL)