EDDY BLOG INAKUTAKIA EID NJEMA EWE MSOMAJI WETU

MUNGU AWABARIKI SANA NINYI WASOMAJI WA BLOG HII KWA KUIFUATILIA KUTOKANA NA HABARI ZAKE ZA UHAKIKA ZINAZOCHAPISHWA KILA SIKU, HATUNA BUDI KUWATAKIA WASOMAJI WETU WOTE HERI YA SIKUKUU YA EID, MSHEREHEKEE KWA AMANI NA MUNGU AWABARIKI, TUKUMBUKE KUTOKUVUNJA SHERIA ZA NCHI WAKATI HUU WA SHEREHE HII NZURI.

IMETOLEWA NA,
EDWIN MOSHI,
MKURUGENZI


JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi



 
© Copyright EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo