BREAKING NEWS: MITAMBO YA GESI UBUNGO INAVUJA MUDA HUU

Mitambo ya gesi ya kuzalishia umeme katika Grid I ya Taifa maeneo ya Ubungo sasa hivi inavuja na hali si shwari maeneo hayo kwani kuna moshi mkali sana!

Source: Mimi mwenyewe (Jamii Forum) nipo eneo la tukio!


JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi



 
© Copyright EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo