Taswira
ya Mlima Kilimanjaro inavyoonekana kwa sasa baada ya kuyeyuka Barafu
yote, ikiwa imebakia sehemu kidogo tu juu ya Kilele cha Mlima huo, ni
kutokana na Mabadiliko ya Tabianchi na uhalibifu wa Mazingira
uliokithiri. Picha na www.sufianimafoto.com
Taswira ya mlima huo na Kilele cha Mlima Kibo. Picha na www.sufianimafoto.com
Mlima Kilimanjaro Kushney, kama unavyoonekana ukiwa hauna Barafu huku iliyobaki ikielekea kumalizika kwa kuyeyuka. Picha na www.sufianimafoto.com