WATOTO MACHOKORAA WAFIKISHWA MAHAKAMANI KUJIBU MASHITAKA

WATOTO wa mitaani ‘Chokoraa’ leo wamepandishwa kizimbani kwenye Mahakama ya Sokoine Drive jijini Dar na kufunguliwa mashitaka ya uzururaji. 
 
Watoto hao walinaswa kwenye msako uliofanyika kwenye kituo kikuu cha mabasi yaendayo mikoani ‘Ubungo Bus Terminal’. 

Zifuatazo ni baadhi ya picha za watoto hao na yeyote anayetaka kuwafuatilia afike kwenye gereza la watoto lililopo Kisutu.(Credits GPL)
Watoto wa mitaani 'Chokoraa' wakipelekwa kwenye gereza la watoto lililopo Kisutu jijini Dar es Salaam.


JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi



 
© Copyright EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo