UKATILI WA KUTISHA TABORA, MAMA ACHOMA MOTO MIGUU YA MTOTO WAKE KWA MADAI INASABABISHA AZURURE

Mtoto Ibrahim Kessy mwenye umri wa miaka minne anadaiwa kuunguzwa miguu na mama yake mzazi kwa tuhuma za kuzurura ovyo mitaani.

Mtoto huyo ambaye anaishi na mama yake mzazi mkoani Tabora anadaiwa kufanyiwa unyama huo na mama yake baada ya kurejea nyumbani bila kumkuta mwanaye.

Hatua hiyo ilimfanya mama huyo kuamua kumuunguza miguu mwanaye kwa banio la Mkaa akidai miguu ndio inayomfanya atembee ovyo bila kutulia nyumbani
Taarifa zaidi itakujia baara ya kuzipata kiundani toka kwa ripota wetu


JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi



 
© Copyright EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo