TAZAMA PICHA 7 ZA MAJERUHI WA AJALI YA GARI LA JESHI LILILOPINDUKA ZANZIBAR

 Dakari katika hospitali ya mnazi mmoja akitoa huduma ya kwanza kwa majeruhi wa ajali ya gari lililopinduka likiwa katika msafara wa maziko ya Marehemu waliokufa Dafur, ajali hiyo imetokea baada ya kupinduka gari walilokuwa wamepanda wakienda makaburini mwanakwerekwe. 
 Majeruhi wa ajili ya gari ya jeshi wakiwa katika hospitali ya mnazi mmoja wakisubiri huduma ya kwanza baada ya kufikisha hospitali hapo kwa matibabu. 
 Daktari katika hospitali ya mnazi mmoja akitowa huduma ya kwanza kwa majeruhi wa ajali waliofikishwa hospitalini hapo kwa matibabu. 


Makaktari katika ya Hospitali ya mnazi mmoja wakiandaa vifaa kwa ajili ya kutowa huduma ya kwanza katika hospitali kuu ya mnazo mmoja kwa matibabu, ajali hiyo imetokea maeneo ya mwankwerekwe sokoni. 


JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi



 
© Copyright EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo