Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dk. Jakaya Mrisho Kikwete
akizindua rasmi jengo la Mahakama Kuu ya Tanzania Kanda ya Bukoba mapema
leo asubuhi.Kushoto ni Jaji Mkuu,Mhe. Mohamed Chande Othman.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akikata utepe akisaidiwa na Jaji Mkuu Mhe Mohamed Chande Othman wakifungua rasmi jengo la Mahakama Kuu Kanda ya Bukoba leo Julai 25, 2013.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akikata utepe akisaidiwa na Jaji Mkuu Mhe Mohamed Chande Othman wakifungua rasmi jengo la Mahakama Kuu Kanda ya Bukoba leo Julai 25, 2013.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dk. Jakaya Mrisho Kikwete
akifanya ukaguzi wa Jengo hilo mara baada ya kulizindua rasmi leo
asubuhi.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dk. Jakaya Kikwete (katikati) ,
Jaji Mkuu wa Tanzania, Mhe. Mohamed Chande Othman wa pili kushoto, Jaji
Mkuu wa Zanzibar,Mhe. Othman Makungu (wa Tatu ), Jaji Kiongozi wa
Mahakama Kuu ya Tanzania, Mhe. Fakih Jundu (wa pili kulia), Jaji
Mfawidhi wa Mahakama Kuu Kanda ya Bukoba, Mhe. Gad Mjemmas,kulia,Waziri
wa Katiba na Sheria, Mhe. Mathias Chikawe (wa pili kushoto)na Mkuu wa
Mkoa wa Kagera, Ltn Mstaafu, Fabian Massawe wakiwa katika picha ya
pamoja na watumishi wa Mahakama Bukoba Mara baada ya uzinduzi wa
Mahakama Kuu Kanda ya Bukoba. (Picha na Mary Gwera,Mahakama ya Tanzania)
Muonekano wa jengo la Mahakama Kuu Bukoba lililozinduliwa na rais.