Rais Kikwete ametoa agizo mamlaka zote husika zikae chini kutatua haraka
mzozo wa kodi ya sim card ili kumaliza malalamiko ya wananchi.
Rais Kikwete ametoa agizo hilo jioni hii alipokutana na viongozi wa wizara ya fedha, sayansi mawasiliano na teknolojia, TCRA na wawakilishi wa makampuni yote ya simu Tanzania.
Lengo ilikuwa kujadili mzozo huo.