POLISI WATEKWA NA MAJAMBAZI KITUONI GONGO LA MBOTO

Hii imetokea huko Gongolamboto, majambazi waliokuwa wamejihami kwa silaha za kisasa walivamia kituo Kidogo cha polisi kilichoko Gongo la mboto na kuwateka polisi waliokuwemo kituoni humo na kuwafungia mahabusu ya kituo hicho, 
 
majambazi hao pia waliwajeruhi na walitaka silaha zaidi na radio call, hata hivyo walishindwa kwa kuwa radiocall haikuwa na chaji(aibu nyingine ya jeshi la polisi) waliondoka wakiwaacha polisi ndani ya lockup yao mpaka walipokuja kuokolewa na wananchi 
 
Source; Radio Wapo, Radio Tumaini


JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi



 
© Copyright EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo