MWANALIBENEKE D'JARO ARUNGU AKUTANA NA KIHOJA CHA MWAKA

Huyu jamaa kwa picha hapo juu,kutokana na profile yake kwa facebook anajitambulisha kama Mpiga Picha wa Wema Sepetu anayekaa Kinondoni jijini Dar es Salaam na kwao ni Tarime.Hata hivyo yuko na account 2 kwa facebook.
Moja anatumia Bestizzo Blogger Tanzania 
na nyingine anatumia Bestizzo wa Big level.Ukimtafuta facebook kwa hayo majina unampata. 


Huyu Mkurya kwa kweli nashindwa kuelewa anachonitafuta kwa Sababu simjui hanijui ila Tazizo eti mimi 
kuwa na Website yangu ndiyo inayomuuma roho.Tena anatamani kupasuka,na Kichwa inamuuma ajabu kuhusu website yangu ya   babamzazi.com.

Nasema hivyo kwa sababu mchana huu kaniibox kwa facebook ujumbe ambao umenikera na kuanza kumfuatilia kwa karibu ili nimjue ni nani na kugundua kuwa ni Mwana Blogger Mwenzangu,tena anajiita 
No 1 blogger in Tanzania.
Yeye yuko kwa hizi ishu kwa muda mrefu sana,almost miaka 8 nyuma.Mimi ndio 
kwanza mwezi 1 coz nlianza kupublish babamzazi.com tarehe 1june Mwaka huu.Means mpaka sasa ni mwezi 1 tu imepita.

Hivyo nakiri kuwa bado naitaji ushauri na kujifunza kwa walionitangulia kama yeye.


Madai yake ni kuwa kila wakati naandika Wema Sepetu nilidhani kazi ya kuendesha blog ni rahisi.

Kama 
kazi yangu ya Utangazaji kwa radio imenishinda i better find anything else to do.

Alianza kwa kusema......


''Unakosa habari zakuandika?????


maana nakuona unaangaika na habari za miaka kumi iliyopita


Wema Wema khaaaa!


Ulidhani kuendesha blog kazi ndogo?????


Fanya unachoweza..... kazi ya utangazaji ikikushinda fanya uwezacho''


Huyu Mkurya yeye ndio kazi ya kufanya hapa Town ameshindwa bora aende Kitunda akauze mayai au

arudi kijijini kwao Tarime akakate mkaa na Kuchunga mbuzi.


Niliposoma ujumbe wake alinipa akili ya kufuatilia blog yake na kugundua habari zote ni za Wema Sepetu.


Mara Wema akaribisha Bongo Movie kula kwake,

Wema anunua gari ya kifahari,

Wema sepetu amfanyia mtoto wa dada yake birthday,

Wema Sepetu aking'oa jino,

Duuuh This is too much bado tu aandike D'jaro Arungu anatoka na Wema.


Ukiingia 
http://www.babamzazi.com/ utaona utofauti mkubwa sana kati ya mimi na jamaa.
Ili uamini ninachosema kuhusu huyu jamaa link ya blog yake na ishu za Wema hizi hapa Chini.

http://bestizzo.blogspot.com/2013/04/bongo-movies-wapata-lunch-nyumbani-kwa.html

Hiyo moja nyingine hii

http://bestizzo.blogspot.com/2013/03/wema-sepetu-amfanyia-mtoto-wa-dada-yake.html

Na hii pia

http://bestizzo.blogspot.com/2013/02/picha-3-za-wema-sepetu-akingoa-jino.html

Zingine utajionea mwenyewe ukitembelea blog yake.


Pia katika book ukiingia ndani utakuta picha kibao za Wema.


Jamaa anastory ndefu kwa kweli zingine naona soo kutaja coz anamtindo wa kujifanya dem anaweka 
picha ya Dem theni anajifanya nipo form six Kowak nina shida kweli ntumie buku kumi.Kesho anajisahau nipo Ikizu secondary form six nimebanwa kweli ntumie buku 2 vocha.Ukimshtukia anakublock theni anabadilisha jina.

Ni hatari kwa kweli.

Pia angalia sana madada wanaojiita member wa Big Levol wezi watupu katika mtandaoni wakishirikiana na jamaa.

Ni hayo tu.


JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi



 
© Copyright EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo