MAMA MZAZI WA WAZIRI MKUU MIZENGO PINDA ASHIRIKI MBIO ZA MWENGE KATAVI

Mama mzazi wa Waziri Mkuu Mizengo Pinda Albetina Kasanga akiwa ameshika mwenge wa Uhuru ulipotembeleakijijini kwake kibaoni hapo jana  wakati wa mbio za mwenge wa uhuru kwa mwaka 2013

Kiongozi wa Mbio za Mwenge Kitaifa Juma Ali Sumai akimtwisha ndoo ya maji mmoja wa mwanamke wa kijiji cha TupindoKata ya mbede wilaya ya Mlele Jovina Katumbo muda mfupi baada ya kuzindua mrandi wa kisima kirefu cha maji uliogharimu kiasi cha sh.48.4 ml.

 Kiongozi wa Mbio za mwenge kitaifa Juma Ali sumai akisalimiana na Na  Mama mzaziwa waziri Mkuu Pinda muda fupi baada ya kuwasili kijiji hapo ukiwa katika wa mbio za mwenge  na kufungua miradi minne ya maendeleo.

Picha na waltre mguluchuma
BLOGS ZA  MIKOA TANZANIA


JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi



 
© Copyright EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo