HUYU NDO MSICHANA WA CHUO ALIYEKUTWA AMEKUFA KATIKA NYUMBA YA KULALA WAGENI

Msichana Aliyetambuliwa kwa jina la Florence Ngwu, 
Mwanafunzi katika chuo kikuu cha Nigeria Amepatwa na Umauti Katika Hotel Moja Mjini  Lagos Nigeria. Mwili wa Msichana Huyo Ulikutwa 
 sakafuni.Mpaka Sasa hakuna taarifa za ziada  zilizotolewa, pia haijajulikana ni kitu gani kilimuua


JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi



 
© Copyright EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo