Gari
No T663AAD mali ya mr.Victor wa Songea limepinduka na kuua mmoja na
wengine kujeruhiwa katika eneo la ghala la Litula wakielekea Chiola.
Mzigo mzito na idadi kubwa ya watu pia imechangia.Hakuna
aliyekimbia,kutokana na wingi wao walidhibiti mali zao (saa 2usiku)
“Magari yalikuwa mawili yakifukuzana kwenye kona gari la nyuma likakosa kona na kuanguka”,alisema shuhuda mmoja wa ajali hiyo.
Marehemu yupo katika chumba cha maiti katika hospitali ya Nachingwea na watu wengi wameumia sana maungoni
Credits: Lindi Yetu
JIUNGE NA EDMO BLOG SASA
Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube
Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi