WANANCHI MIKESE MOROGORO WAFUNGA BARABARA NA KUTAKA KUAGA MWILI WA MAREHEMU MANGWEA

Katika kudhihirisha kweli marehemu Albert Mangwea ni kipenzi cha watu, wakazi wa Mikese mkoani Morogoro wamelazimika kufunga barabara ili waruhusiwe kuuaga mwili wa marehemu, na tumetaarifiwa kuwa wananchi hao wameruhusiwa kuuaga mwili, na ndipo msafara ukaendelea na safari

Mungu wabariki wote wanaousafirisha mwili wa Mangwea hadi nyumbani kwao ili wafike salama, AMEN


JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi



 
© Copyright EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo