DULLY SYKES TAYARI AMESHAFIKA MOROGORO NYUMBANI KWA NGWEA KUUPOKEA MWILI


Msanii mkongwe wa bongofleva hapa nchini, Dully Sykes(wa pili kulia) akiwa nyumbani kwa familia ya marehemu Albert mangwea huko Morogoro, wakisubiri kuupokea mwili wa marehemu ambao unatazamiwa kuingia muda wowote kuanzia sasa, ukitokea Dar es Salaam


JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi



 
© Copyright EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo